HUKO Simba bado panawaka moto katika usajili wa dirisha dogo linalotarajiwa kufungwa Januari 30, 2026, kwani kuna uwezekano wa kuachana na idadi kubwa ya mastaa waliopo sasa na kushusha sura mpya za ...
ALIYEWAHI kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tully, amesema sababu kuu inayopelekea kikosi cha timu yao kushindwa kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki iko ‘ndani ya ...
NIMEKUWA Napata shida kuwaelewa mashabiki wanaomshambulia Mwenyekiti wa Simba Sports Club, Murtazar Mangungu kuhusu mwenendo mbaya wa timu hiyo kimataifa na mwendelezo wa klabu hiyo kuukosa ubingwa wa ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki wa kushoto Nikson Kibabage, akisisitiza kuwa ni mchezaji mwenye uwezo mkub ...
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo ...
Okwi anatarajiwa kutua Dar es salaam majira ya saa tatu usiku na Jumapili atakutana na uongozi wa Simba ambapo mchakato wa kusaini mkataba utafanyika Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi ...
Simba, tai, tembo na hata samaki wa kale — timu 24 zinazoshiriki AFCON ya 35 nchini Morocco zimebeba majina ya utani yanayoakisi historia, utamaduni na matarajio ya mashabiki wao. Mataifa 24 ...
Alikuwa kipa tegemeo kwa kipindi chake cha uchezaji kiasi cha kuitwa Tanzania One, huyu ndiyo kipa aliyeifikisha Simba fainali ya CAF, mwaka 1993 na kufungwa na Stella Atowar katika mchezo wa ...
Mbuga ya kitaifa ya hifadhi ya Tsavo ndio kubwa zaidi nchini na ya pili kwa ukubwa duniani baada ya ile ya kitaifa ya Kruger iliyoka Afrika Kusini, ikiwa na ukubwa wa kilomita 21,000 mraba. Mbuga hii ...